Hapo zamani palikuwa na Wanyasa wenye kufuatilia mambo mbalimbali duniani kote, hasa kupitia mawasiliano ya redio.
Wazee wa sasa wanapenda sana redio kuliko televisheni.
Redio ziliwasaidia!-->!-->!-->!-->!-->…
Eneo la Peramiho moani Ruvuma, ni eneo lenye kumbukumbu nyingi muhimu zinazostahili kutunzwa zaidi hasa kwa maandishi.
Na kati ya watu muhimu waliopitia Peramiho ni pamoja na Padre Lambert Dorr.!-->!-->!-->…