Kwa mujibu wa Msajili huyo wa Hazina, serikali imewekeza Zaidi ya Trillioni 73 katika taasisi za umma na kwamba ni jukumu lao kuhakikisha fedha hizo zinazaa matunda makubwa katika kukuza uchumi wa…
Tanzania ina waalimu 250,000. Benki ya NMB imedhamiria kuwaokoa kutokana na mikopo ya mitaani, maarufu kama kausha damu ambayo imekuwa ikimaliza mishahara yao.
Wamiliki wa kampuni hiyo ya Uchukuzi, Iringa pia wanadai kunyanyaswa na baadhi ya maofisa wa serikali huku hati yao ya umiliki ikiwa imeshikiliwa kusikojulikana
Kwa mujibu wa TANESCO, shirika linategemea mtambo wa mwisho uliopo katika kituo cha upanuzi cha Kinyerezi namba I (Kinyerezi I Extension) utaanza kuzalisha megawati 45 za umeme kwenye Gridi ya Taifa…
Matapeli sasa wamebuni mbinu mpya ya kutuma taarifa ghushi kwa wamiliki wa akaunti za benki, hasa zile za taasisi kana kwamba kuna fedha nyingi zimetumwa kutoka nje ya nchi