Habari, Makala na Simulizi kutoka Afrika

simulizi na historia

Wasifu wa Siti Binti Saad: Muimbaji wa kwanza kurekodi Muziki Chini ya Jangwa la Sahara

Wengi walisema kuwa Siti alikuwa na mapafu yenye nguvu kama ya simba kutokana na jinsi alivyoweza kupaza sauti yake mbali na bila kuachia pumzi.

Nyumba N’tobhu ndoa ya mila ambayo hustua wasioifahamu

Moja ya mila za kushangaza sana katika nyakati hizi, ni hii ya Nyumba Ntobu kule kanda ya ziwa nyanza

Historia kuhusu miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania

Misheni ya kwanza ya Kilutheri kuingia nchini ni ile ya kutoka Berlin Ujerumani mwaka 1887 na kuweka kambi Kigamboni

Mfalme Charles III na Siri ya Mti wa Mkuyu katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha

Mfalme Charles III ana siri yake moja. Anaupenda mti mkubwa wa Mkuyu ulioko chini ya Maporomoko ya Maji ya Tululusia, katika hifadhi ya Taifa ya Arusha, Tanzania

Kisiba: Ziwa Lenye Chungu Cha Hazina inayolindwa na Joka Kubwa lenye vichwa Viwili

Maeneo yenye maji, hususan maziwa na bahari mara nyingi hayakosi mauzauza na miujiza.

Siku Moto Ulipolipuka kwenye jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar-es-salaam

Habari kamili au za wazi kuhusu chanzo cha moto huo na hasara zake, hazikutolewa kwa wazi sana licha ya ujio wapelelezi kutoka Uingereza ambao waliwasili nchini kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kutoa ripoti kwa mamlaka husika. 

Mwembe wa Ikulu Kutimiza Miongo 60 ifikapo Mwaka 2024

Mwaka 2025 utakuwa ni mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania. Lakini pia ndio kipindi ambacho mti wa mwembe ulioko Ikulu ya Dar-es-salaam utatimiza miaka 61.

Mulala: Eneo lililotoa watu Maarufu Meru

Mwanuo ndiye babu yake askofu Kitoi Nassari, yeye alioa wanawake karibia 60. Ana kijiji chake huko Siha Kinaitwa Tindigani

Historia ya Eneo linaloitwa ‘Maji ya Chai’ Arusha

Kwa nini hasa eneo lililo mbele kidogo ya Usa-River linaitwa 'Maji ya Chai?' Pengine tuanze na historia yake kwanza

Kwanini Nyerere  Aligombana Na Viongozi wa Marekani?

Balozi wa Marekani Kipindi hicho, Bwana Leonhart anauelezea mkutano wake na Nyerere kwamba ”Haukuwa mzuri….”

Vituko Vya Tuntemeke Sanga: Msomi aliyemtaka Rais Nyerere ampishe Ikulu

Tuntemeke kutaka Nyerere ampishe Ikulu, lilimuudhi sana Mwalimu akaamua kutumia Sheria yake ya " The preventive Detention Act 1962" akamsweka mara moja kizuizini kijijini kwake Bulongwa na kumwamuru asitoke kijijni hapo hadi apate kibali maalum.

Padri Joseph Damn: Mateka wa Vita aliyefanya mambo makubwa Tanganyika

Katikati ya vita vya dunia, vita vya majimaji na mapambano ya mkwawa dhidi ya wajerumani, Padri Damn aliweza kufanya makubwa Tanganyika

Mikaeli Ahho: Chifu Mkatili Zaidi kuwahi kutokea katika Jamii za Wairaqw

Hii ni simulizi na historia adimu sana kuhusu chifu mkali na machachari kuwahi kutokea katika jamii za wairaqw