Taifa Tanzania
Taifa Tanzania. Gazeti Huru la Afrika Mashariki linaloandaliwa kwa lugha ya kiswahili

Mahakama yazuia kuuzwa kwa Kitalu cha Burunge

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Saalam, imezuia mchakato wa kupiga mnada Kitalu cha uwindaji   katika  eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii Burunge (JUHIBU) Mahakama imetoa zuia la dharura la mchakato wa kukigawa kitalu hicho kutokana na kesi iliyofunguliwa na kampuni ya EBN