Edward Moringe Sokoine kutoka ukoo wa Mollel alikuwa ni waziri mkuu wa tatu Tanzania baada ya Julius Nyerere na Rashid Kawawa. Wote ni Marehemu kwa sasa.
Donald Trump Junior ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amewasili nchini Tanzania kwa kile kinachoelezwa kuwa ni ziara binafsi ya kitalii.
Trump Junior ndiye Mtoto wa!-->!-->!-->…
Wakala wa Barabara nchini imefanikiwa kutatua tatizo la muda mrefu la kukatika kwa barabara eneo la Zira Barabara ya kutoka Chang'ombe hadi Patamela yenye urefu wa Kilometa 55.7 baada ya kujenga!-->…
Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga unatarijiwa kubadilika na kuwa wa kisasa zaidi kufuatia mkataba rasmi wa kuujenga upya ulitiwa saini wiki chache zilizopita.
Tanzania kupitia Wakala ya Barabara!-->!-->!-->…