Tanzania ina watu ambao wamezaliwa wakiwa na jinsia zote mbili za Kike na Kiume, ingawa hawana tatizo lolote lakini jamii inachukulia kuwa huo pia ni ulemavu
Washindani wake kibiashara walianza hadi kuwatishia watu waliotaka kusambaza au kuuza bidhaa zake kwamba wangesitisha kumpa bidhaa zingine za maziwa kutoka kwao iwapo angeendelea kuchanganya na maziwa…
Hivi karibuni, mfumo wa usafiri katika miji ya Tanzania ulianza kuchukua mfumo mpya.
Pikipiki zenye magurudumu matatu zimeingia ghafla na kwa wingi katika biashara ya kusafirisha abiria mijini.
!-->!-->!-->!-->!-->…