Zaidi ya miti laki moja ya matunda na vivuli katika vijiji 20 vya Wilaya za Korogwe na Handeni ambao zaidi ya vijana 1000 walihusika ikiwemo kuiotesha na kuipalilia
Inaaminika kuwa magamba ya mnyama huyo hutumika kutengeneza dawa za aina mbalimbali kule India lakini Kakakuona pia ni chakula cha gharama katika hoteli za china
Mawakili wake, Joseph Ole Shangay and Alasi Melau sasa wanafungua kesi katika mahakama kuu kuvishitaki vyombo vya usalama kwa kumshikilia mteja wao kwa Zaidi ya saa 24 bila kumfungulia mashitaka…