Pamoja na Kusisitiza kuwa hana chama chochote kwa sasa, Dk Slaa amehutubia mkutano wa ndani wa CHADEMA na kukisifu chama hicho kwa ustahimilivu mkubwa kipindi cha nyakati ngumu
Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani anaelezea hofu yake kwamba hivi sasa analazimika kuhudhuria misiba na mazishi ya wakazi wanaouawa na wanyama kama Tembo na Nyati, kila siku.
Ni kutoka katika kata tatu za Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha. Watajiunga na elimu ya sekondari mwaka huu, kwa kidato cha kwanza, baada ya kuhitimu elimu ya msingi,
Karatu ambayo ndio wilaya pekee nchini yenye mnara wa historia ya kuanzishwa kwa vijiji vya Ujamaa, sasa iko mbioni kujenga mnara mwingine wa kitaifa.
Baraza la wazee wilayani Karatu kwa!-->!-->!-->…
Wamekuwa wakiishi maisha ya porini tangu kuumbwa kwa dunia, lakini sasa jamii ya Wahadzabe waishio wilayani Karatu, Mkoani Arusha, wamegundua umuhimu wa kujiunga na elimu rasmi mashuleni