Maisha ya wanyamapori hutishiwa na vitu vingi, kwanza majangili lakini pia vyombo vya usafiri vinavyotumia barabara zinazokatiza katika hifadhi au shoroba
Tanzania imeendelea kuchukua hatua kadhaa za kulinda na kuhifadhi rasilimali za misitu na wanyamapori kwa ajili ya kusaidia mifumo ikolojia inayostahimili hali ya maisha pamoja na kuboresha maisha ya…
Mtambo huo wa kurutubisha nafaka umetengenezwa kwa ushirikiano kati ya shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) na taasisi ya teknolojia ya Dar-es-salaam (DIT) chini ya udhamini wa taasisi ya Global…
Kabla ya serikali kujenga kituo hicho cha afya kwenye kata ya Kitumbeine, wakazi wa vijiji vya eneo hilo walikuwa wanalazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 60 ili kupata huduma za afya, katika…
Mfalme Charles III ana siri yake moja. Anaupenda mti mkubwa wa Mkuyu ulioko chini ya Maporomoko ya Maji ya Tululusia, katika hifadhi ya Taifa ya Arusha, Tanzania