Serikali imeamua kuunganishia Jeshi la polisi katika mifumo yote ya mawasiliano ya kiusalama ya kimtandao nchini.
Hii pia ni katika kuimarisha usalama nadni ya maeneo ya uhifadhi kwa ajili ya!-->!-->!-->…
Mfalme Charles III ana siri yake moja. Anaupenda mti mkubwa wa Mkuyu ulioko chini ya Maporomoko ya Maji ya Tululusia, katika hifadhi ya Taifa ya Arusha, Tanzania
Wakala wa Barabara nchini imefanikiwa kutatua tatizo la muda mrefu la kukatika kwa barabara eneo la Zira Barabara ya kutoka Chang'ombe hadi Patamela yenye urefu wa Kilometa 55.7 baada ya kujenga!-->…
Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga unatarijiwa kubadilika na kuwa wa kisasa zaidi kufuatia mkataba rasmi wa kuujenga upya ulitiwa saini wiki chache zilizopita.
Tanzania kupitia Wakala ya Barabara!-->!-->!-->…
Faru walioko kwenye mradi maalum katika hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, Mkoani Kilimanjaro, wanaendelea kuongezeka na sasa Grumeti, ambaye ni mnyama pendwa wa Mwana wa Mfalme wa Uingereza, amepata mjukuu
Wataalam wanaonya kuwa mimea vamizi inayochipuka kwa kasi chini ya Mlima Meru sasa inatishia uoto wa asili pamoja na wanyamapori katika hifadhi ya Taifa ya Arusha
Mfumo huo wa kisasa utaanza kutumika mwaka huu, katika eneo la jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori Burunge, kupitia mradi wa uhifadhi maliasili unaodhaminiwa na shirika la msaada la kimataifa la…
Zaidi ya wananchi 200 wa Mkoa wa Rukwa na mikoa ya jirani wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya mifupa katika kambi ya maalum ya tiba ya upasuaji kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa!-->…