Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi wilayani Monduli, Kisioki Moitiko ametoa Ng'ombe 50 na mashine ya kusaga kwa ajili ya kuwaunga mkono akina mama wa maeneo hayo katika nyakati!-->…
Ongezeko la Joto Duniani pamoja na mabadiliko ya tabia ya nchi zimefanya watu sasa wabuni njia nyingi mbadala wa kupambana na janga hilo kubwa ulimwenguni
Wamiliki wa kampuni hiyo ya Uchukuzi, Iringa pia wanadai kunyanyaswa na baadhi ya maofisa wa serikali huku hati yao ya umiliki ikiwa imeshikiliwa kusikojulikana
Huku matukio ya uwindaji haramu yakishamiri katika maeneo kadhaa wilayani Babati, watu wawili wamesukumwa jela kutumikia miaka 20 gerezani kwa kupatikana na Pembe za Ndovu
Kufuatia kuongezeka kwa idadi ya wanyamapori, hususan Tembo, Meatu imeanza harakati ya kupima upya maeneo kwenye vijiji kumi vinavyozunguka hifadhi ya jamii ya Makao
Habari kamili au za wazi kuhusu chanzo cha moto huo na hasara zake, hazikutolewa kwa wazi sana licha ya ujio wapelelezi kutoka Uingereza ambao waliwasili nchini kufanya uchunguzi wa tukio hilo na…