Taifa Tanzania
Taifa Tanzania. Gazeti Huru la Afrika Mashariki linaloandaliwa kwa lugha ya kiswahili
Browsing Category

Habari

Habari Mpya

Zaidi ya watu 40,000 hupata Saratani kila mwaka

Kansa na magonjwa mengine mageni yasiyo ya kuambukizwa yanaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania. Wizara ya afya kupitia kitengo cha magonjwa yasiyoambukiza nchini imewatahadharisha watanzania juu ya kuacha mtindo mbovu wa Maisha kwani inaongeza Visa vya magonjwa yasiyoambukiza.