Tanzania imeendelea kuchukua hatua kadhaa za kulinda na kuhifadhi rasilimali za misitu na wanyamapori kwa ajili ya kusaidia mifumo ikolojia inayostahimili hali ya maisha pamoja na kuboresha maisha ya…
Zaidi ya miti laki moja ya matunda na vivuli katika vijiji 20 vya Wilaya za Korogwe na Handeni ambao zaidi ya vijana 1000 walihusika ikiwemo kuiotesha na kuipalilia
Mtambo huo wa kurutubisha nafaka umetengenezwa kwa ushirikiano kati ya shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) na taasisi ya teknolojia ya Dar-es-salaam (DIT) chini ya udhamini wa taasisi ya Global…